Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili

Klabu ya soka ya Yanga, imefungiwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kufanya usajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wao raia wa Zambia, Lazarus Kambole.


Uamuzi huu umetolewa baada ya mchezaji huyo kushinda kesi aliyofungua dhidi ya klabu hiyo kwa kosa la malimbikizo ya mshahara na fidia ya kuvunjiwa mkataba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *