Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Q Chief amtuhumu Diamond Platnumz kumharibia mambo yake

Msanii wa muziki nchini Q Chief amemtuhumu staa wa muziki Diamond Platnumz kuwa anamuharibia mambo yake.

“Chibu ishi nayo hii .yote mnayonifanyia na tale yule chege kwa lugumi nayajua na nayafahamu nimevulia sn ila compresa imeungua sina budi kukuambia ww ni snitch ulichowahi kumfanyia darasa years ago ndicho unachokifanya kwangu for how long will u and tale do this .kumbuka tangu kwa qs tale unanifitini kwa maneno njia zote zimeshindikana ss mnazama maungoni .mwaka jana nilipokea simu moja ya mzito mmoja ambaye alituchagua wasanii kadhaa ikiwemo tnc nilipoulizwa promo tufanye wp nikachagua wasafi hapo ndipo nilipojichanganya bila kujua namkaribisha shetwain katika biashara kubwa bila hofu ya mungu mondi ukakata jina langu ww na tale na mkasema mambo mengi kwa tajiri najiuliza tu mmefanyq kwa wasanii wangapi ?hii ndio maana ya roho mbaya wanaoogopa kukwambia wanaafaidq na ww mimi sijawahi nq kwa mfumo huo sitarajii vipi kaka au radio inakupa stress .mbnaa sisi tunaishi nazo imekuwaje tena .ungekuwa mtu mwenye nidhamu na hofu unhepokea simu za jo ni zaidi ya miezi 8 au tisa hamko sawa .jiandae ali kiba anakuja na media yake sidhani kama atakuwa na mfumo onevu kama wako .when a man takes too much time to preach ur evel and not good jua kuna vitu vingi moyoni mwake na anavitumia kama kivuli cha kukuharibia mambo yako .mi pia ni binaaadam kama ww na nina hisia unapozigusa bila idhini ya mungu unanikwaza .take this with u today”- ameandika Q Chief kupitia Instagram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *