Mtangazaji na Socialite wa Tanzania Diva Gisselle Malinzi (Diva The Bawse) ametangaza kufunga ndoa mpya ya Kikristo kwenye kanisa la Kingdom Embassy.

Diva ambaye miezi michache alifunga ndoa ya Kiislam na Mumewe aitwae Abdulrazack Salum ameandika kwenye mtandao wa instagram ‘Siku Ya Jana Nimefunga ndoa Ya Kikristo kimyakimya.
MiezI 3 iliopita nilikuwa na attend kanisa La Kingdom Embassy Church kwa Mafunzo ..mnanijua vizur kiki sio vitu vyangu what you see is what you get .. had enough Wanted to be this way
I said Yes To the love Of My life O
Mrs.L
From German with Love’ – Diva.