Usiku wa kuamkia leo, rasmi msanii D Voice ametambulishwa kujiunga na lebo ya Wasafi Classic inayoongozwa na Diamond Platnumz.
Pia ameachia albamu yake ya kwanza iitwayo ‘Swahili Kid’ ambayo inangoma 10 na amefanya kolabo na wasanii kutoka WCB ambao ni Diamond Platnumz, Zuchu, Mbosoo na Lava Lava.