Mwili wa Mohbad umefukuliwa

Mwili wa marehemu Mohbad, umefukuliwa kwaajili ya uchunguzi.Taarifa hii imetolwa na Msemaji wa Polisi wa Jimbo la Lagos, SP Benjamin Hundeyin, kupitia ukurasa wake w Twitter, X siku ya leo Alhamisi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *