Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Masheikh 9 wahukumiwa kunyongwa Arusha

Masheikh 9 ambao ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa zaidi ya Miaka 10 katika Gereza Kuu la Kisongo wamesomewa Mashtaka katika Mahakama Kuu ya Kanda, ambapo 6 kati yao wamekutwa na hatia ya kulipua Kanisa Katoliki la Parokia ya Mtakatifu Joseph Olasiti Mwaka 2013, na kuhukumiwa kunyongwa.

Katika hukumu hiyo Jaji alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh hao akiwemo Imamu Mkuu wa Masjid Quba Sheikh Jaafar Hashim Lema walilipua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *