Mtandao wa Business Insider Africa umetoa orodha ya mabilionea 10 zaidi Afrika kwa mwanzo mwa 2024.

Orodha ya watu 10 matajiri zaidi barani Afrika mwanzoni mwa mwaka 2024;
1. Johann Rupert & Family – TZS Trilioni 25.83
2. Aliko Dangote – TZS Trilioni 23.83
3. Nicky Oppenheimer & Family – TZS Trilioni 20.82
4. Nassef Sawiris – TZS Trilioni 18.56
5. Abdulsamad Rabiu – TZS Trilioni 14.79
6. Nathan Kirsh – TZS Trilioni 14.55
7. Issad Rebrab & Family – TZS Trilioni 11.54
8. Mohamed Mansour – TZS Trilioni 9.03.
9. Naguib Sawiris – TZS Trilioni 8.27
10. Mike Adenuga – TZS Trilioni 7.77