Staa wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Zuchu ameshare picha akionyesha risiti ya manunuzi ya nywele bandia katika Instastory yake ambayo amenunua kiasi cha Dola 4,500 ambayo ni sawa na TSh Milioni 11.2 pesa ambayo unaweza nunua boda boda (Piki piki).
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz