Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Hii ndio njia pekee ya kushinda grammy

CEO wa Tuzo za Grammy, Harvey Mason Jr ametaja miongoni mwa kigezo kinachosimamia  ili uweze kushinda Tuzo zaa Grammy.

Katika mahojiano yaliyoonekana mtandaoni, Mkurugenzi huyo wa  Grammy alielezea kuwa njia pekee ya kushinda Grammy ni kwanza ni kwa kupigiwa kura na wanachama wa recording academy.  Na ili kuwa mwanachama wa recording academy ni lazima uwe unafanya kazi kwenye kiwanda cha muziki Marekani.

“Kwanza unapaswa kuelewa, kwamba njia pekee ya kushinda Grammy ni kuwa na Uanachama wa Chuo cha kura kwa ajili yako,” amesema CEO.

Akaongeza “Ili kuwa mwanachama wa Academy lazima uwe mtaalamu wa muziki anayefanya kazi nchini Marekani, kwa sasa. Kwa sasa, ni Marekani pekee, tunatumai kwamba tutakua wakati huo. Kwa sasa, ikiwa wewe ni mtaalamu wa kufanya kazi nchini Marekani unaweza kuwa mwanachama wa Chuo cha Kurekodi.”

Tuzo za 66 za Grammy zilifanyika Jumapili usiku, Februari 4, 2024, kwenye ukumbi wa Crypto.com huko Downtown Los Angeles, Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *