Vita ya Soka leo kati ya Nigeria na Afrika kusini

Usiku wa leo ni Nusu Fainali ya michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON)  kati ya Nigeria na Afrika Kusini.

Mshambulia Victor Osimhen amethibitishwa kuwa fiti na huenda akaanza kwenye kikosi cha Nigeria usiku wa leo.


Inataarifiwa kuwa Mmshambulizi Osimhen amewasili Bouaké, Côte d’Ivoire na kujiunga na timu ya Super Eagles katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa nusu fainali Jhii ni baada ya kuripotiwa angekosekana kufuatia kusumbuliwa na tumbo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *