Klabu ya Soka ya Azam FC imetangaza kifo cha Daktari wake Mkuu Dr. Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea leo jioni Februari 27,2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke,jijini Dar Es Salaam.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz