Burna Boy kukiwasha Grammy

Siku sita baada ya kuwatangaza Dua Lipa, Billie Eilish na Olivia Rodrigo kama watumbuizaji katika Tuzo za Grammy za 2024, CBS imeongeza orodha ya wasanii wengine watatu ambao ni Travis Scott, Luke Combs na Burna Boy.

Tuzo za 66 za Grammy zinatarajiwa kufanyika Jumapili, Feb. 4 na zitaruka mubashara kupitia CBS.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *