Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ajibu amfuata aliyekuwa Kocha wa Yanga

Klabu ya Coastal Union FC ya jijini Tanga, imetangaza rasmi kumsajili kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu  kama Mchezaji wao mpya kuelekea msimu wa 2023/24.

Ajibu aliyewahi kucheza Simba, Yanga na Azam FC, msimu uliopita alicheza Singida Fountain Gate FC ya Singida. Na kwa sasa Ajibu atapata maelekezo kutoka kwa Kocha Mwinyi Zahera.

Zahera alishawahi kuihudumu miamba hiyo ya soka Afrika Mashariki na Kati, Yanga SC akiwa kocha mkuu alipojiunga nayo mwaka 2018 na kuiongoza kwenye michezo 63 mpaka kuachana nao mwaka 2019. Na aDesemba 2022 Kocha huyo  alijiunga na Klabu ya Polisi Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *