
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye, kilele cha siku ya Simba maarufu kama Simba Day, itakayofanyika Agosti 6 kwenye dimba la Mkapa Jijini Dar Es Salaam.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz