Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Afya ya Celine Dion bado inatia huzuni

Dada yake na  Celine Dion, Claudette Dion, ametoa taarifa za kukatisha tamaa kwa mashabiki wa Celine Dion kutokana na maradhi aliyonayo.

Claudette amesema kuwa staa huyo kwa sasa anakumbwa na matatizo ya misuli kama kukakamaa Dada huyo amesema hayo katika mahojiano na 7 Jours.

Ila utakumbuka mwezi Agosti katika mahojiano na Le Journal de Montréal, aliwatia moyo mashabiki na familia juu ya hali ya kiafya ya nduguye ambaye ana ugonjwa huo ambao a hautibiki na kusisitiza wataendela kusaka tiba..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *