Staa wa filamu Nollywood, Victoria Inyama, alisema mumewe waliyeachana naye, Godwin Okrim alikuwa akimpiga endapo klabu ya Manchester United inapofanya vibaya.
![](https://jambofm.co.tz/wp-content/uploads/2024/01/victoriainyama-1588775065142.webp)
Muigizaji huyo wa Thespian amefunguka kupitia mahojiano na aliyofanya na Chude Jideonwo, ambapo aliweka wazi kuichukia klabu hiyo ya soka kutoka Uingereza.
“Naichukia Man Utd, maana nikikumbuka Idadi ya vipigo kwa sababu Man United wamelipoteza mechi ehn nazidi kuumia napata sonono/kiwewe’