Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo

Msanii wa vichekesho, Umar Iahbedi Issa maarufu ‘Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *