Kanye West afichua siri kubwa

Bilionea na rapa kutoka Marekani, Kanye West amedai kuwa rapa, Cardi B, ameletwa kwenye tasnia ya muziki kwaajili ya kuziba nafasi ya Nicki Minaj. Na mpango huo umefanywa na wale wasiofurahishwa na Nicki Minaj

Kanye amesema hayo kwenye video iliyovuja ikimuonesha akiongea maneno hayo na kusisitiza kuwa Cardi B anadhani ushindani wake na Nicki Minaj ni baraka kutoka kwa ulimwengu lakini sio.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *