Wasanii 10 waliotazamwa sana Septemba

Mtandao wa Chart Data Tanzania umetaja orodha ya wasanii walioongoza kutazamwa zaidi katika mtandao ya Youtube mwezi wa Tisa.

Wasanii hao ni:-
1. Diamond Platnumz 33M
2. Zuchu 15.8M
3. Harmonize 14.4M
4. Rayvanny 13.3M
5. Jux 13.3M
6. Mbosso 8.58M
7. Jay Melody 8.19M
8. Alikiba 8.14M
9. Marioo 6.78M
10. Rose Muhando 4.24M

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *