Timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stas imefanikiwa kuondoka na point 3, dhidi ya Niger kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Goli la Stars limefungwa na Charlse M’mombwa, dakika ya 56 ya kipindi cha Pili.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz