RASMI: MILOUD ARITHI MIKOBA YA RAMOVIC YANGA

Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umetangaza kufikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro.

Aidha, Klabu ya Young Africans SC imemtangaza Kocha mpya ambaye ni Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa ambaye atqungana na timu kuanza majukumu yake mapya.

Kocha huyo mpya wa Yanga pia aliwahi kuinoa Klabu ya soka ya Singida Black Stars.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *