Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Wakili feki aliyeshinda kesi 26 akamatwa

Mamlaka ya polisi nchini Kenya imemkamata Brian Mwenda aliyekuwa akijulikana kama Wakili wa Mahakama Kuu ya Kenya kwa kosa la kuwa wakili feki.

Brian ameshiriki kwenye kesi 26 mbele ya majaji wa mahakama kuu ya rufaa nchini kenya nakushinda kesi zote 26 kabla yakukamatwa, brian hakuwahi kusomea sheria maali popote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *