Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Burna Boy anatumia ‘mimoshi’ – Ed-Sheeran

Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni, staa wa muziki kutoka Uingereza Ed-Sheeran anasema hajawahi kukutana na mtu anavuta sigara bwege (bangi) kama Burna Boy.

Na wawili hao wamefanya kazi pamoja iitwayo  For My Hand iliyotoka Agosti 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *