VIDEO: Waathirika wa mafuriko Ibanza watoa kilio chao

Familia iliyoathirika na mvua kubwa iliyonyesha na kuvunja nyumba kijiji cha Ibanza Shinyanga imeomba msaada kwa serikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *