Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea wahanga wa mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambao wamelazwa katika Hopistali ya Tumaini, wakipatiwa matibabu.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz