Ikiwa ni siku ya pili tangu mvua kubwa iliyonyesha na kuacha nyumba zaidi ya 60 zikiwa zimeanguka bado wakazi vijiji vya Ibanza mkoani Shinyanga hawana uhakika wa chanzo cha maji safi na salama ya kunywa, kutokana na kisima chao kufunikwa na maji ya mafuriko.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz