Shilole ajizawadia gari ya Mil 70, amwaga machozi

Staa wa muziki na mjasiriamali, Shilole ambaye siku ya jana ametimiza umri wa miaka 36, amejizawadia gari aina ya Toyota Prado alilojinunulia mwenyewe lenye thamani ya Tsh. milioni 70.

Wakati ari hilo linafika kwake Shilole amepigwa na mshangao baada ya kufanyiwa suprise na wadau hao kwakuwa hawakumwambia kuwa atalipata gari lake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *