Mzigo wa jezi feki wakamatwa na Ali Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Ally Kamwe ameongoza zoezi la kukamata Jezi feki za Yanga na Simba katika Godauni lilipo maeneo ya Mbozi Road Temeke, Dar Es Salaam zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Shingi za Kitanzania Bilioni 10.

Kamwe ameiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuzisaidia Klabu za Tanzania kupambana na watu wanaoingiza jezi feki nchini kwa kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria wote watakaobainika kufanya kosa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *