Akipiga stori na Jarida la GQ, Ed Sheeran, staa wa muziki kutoka Uingereza ameweka wazi kuandaa nyumba yake ya milele ikitokea ameaga dunia.
“Siku yoyote inapofika mimi kufa, naingia kwenye shimo hili, watu wanafikiri ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana, lakini nikuambie tu nafanya hivi kwa kuwa nimeona kwani nimewahi kuwa na marafiki waliokufa bila yaomapenzi, na hakuna anayejua la kufanya kuwasitiri.”
Mbali na hivyo mkali huyo amebainisha nafanya hivyo hata ikitokea basi watoto wake na mkewe waweze kumkumbuka.