Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ed Sheeran ajitabiria kifo? Achimba kaburi lake

Akipiga stori na Jarida la GQ, Ed Sheeran, staa wa muziki kutoka Uingereza ameweka wazi kuandaa nyumba yake ya milele ikitokea ameaga dunia.

“Siku yoyote inapofika mimi kufa, naingia kwenye shimo hili, watu wanafikiri ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana, lakini nikuambie tu nafanya hivi kwa kuwa nimeona kwani nimewahi kuwa na marafiki waliokufa bila  yaomapenzi, na hakuna anayejua la kufanya kuwasitiri.”

Mbali na hivyo mkali huyo amebainisha nafanya hivyo hata ikitokea basi watoto wake na mkewe waweze kumkumbuka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *