Dulla Makabila na Rushaynah ni kaka na dada

Baada ya hapo jana usiku jijini Dar Es Salaam msanii wa Singeli Dulla Mabila kumpandisha jukwaani aliyekuwa Mke wa Haji Manara Rushyna na kushangiliwa kwa kuitwa “Shemeji” dulla amebainisha mrembo huyo ni Dada yake.

Kauli hii inakuja baada ya kuzua taharuki mtandaoni na kudhania wawili hao sasa ni wapenzi.

Dulla alimuoa mrembo Zaiylissa ambaye kwa sasa ameolewa na Haji Manara, Na Manara alimuoa Rushy na sasa wameachana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *