Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ni kweli Huu Mwaka Remix ni best collabo na best song 2024?

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Rayvanny amebanisha kiwa Remix aliyofanya ya Dayoo ‘Huu Mwaka” ni ngoma bora na kolabo bara zaidi kwa mwaka 2024.

Rayvanny pia anasema video ya ngoma hiyo ni video bora zaidi kwa mwaka huu.

Ngoma ya Huu Mwaka imetoka mapema mwaka huu na ni ngoma inayohusu kumtia nguvu kijana wa Kitanania asikate tamaaa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *