Rick Ross atangaza kushindana na Elon Musk kiteknolojia

Katika hali ya kushangaza, Msanii wa hip-hop, kutoka nchini Marekani, Rick Ross ametangaza kushindana kiteknolojia na Bilionea Elon Musk baada ya video yake iliyoibuka mitandaoni akizungumzia mipango yake kabambe ya kuunda chumba cha chini ya ardhi kama sehemu ya maandalizi yake ya kifo chake (kaburi).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *