Kupitia Instastory yake Rapa Nay wa mitego amewataka mashabiki wa wasanii kutotamani maisha ya mastaa wao kwani 90% ya maisha yao mitandaoni ni maigizti tu!
Vipi unakubaliana na Rais wa Kitaa?
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz