Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Wenye malori watajwa kuwa chanzo cha uchafuzi wa Mazingira

Wananchi wa mtaa wa mkanyenye jijini Mwanza wameiomba serikali kuyaondoa magari ya mizigo yanayoegeshwa katika eneo hilo kwani yamekuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira na kuhofia kusababisha magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.

https://youtu.be/8jlbx2dn6cs

Wakizungumza na Jambo FM wananchi hao wamesema magari hayo yamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa barabara na chanzo kikubwa cha uzalishaji wa uchafu kwani baadhi ya madereva katika magari hayo wamekuwa wakitupa uchafu katika eneo hilo hali ambayo imefanya kuwe na mrundikano wa uchafu jambo ambalo linahatarisha hali ya usalama kwa wakazi wa eneo hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *