Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Vitu 10 Davido hawezi kuviacha

Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni na British GQ, staa wa muziki kutoka Nigeria Davido ametaja zitu 10 ambavyo hawezi kuvikosa kwenye Maisha yake.

Vitu hivyo ni:- Pesa, Bibilia, Miwani ya jua, Vito vyake vya tahamani(Cheni, hereni, saa pamoja na pete), manukato, Pop Corn (Bisi), Sneakers (raba), headrphone, mvinyo wake na Toiletry bag.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *