Watu wawili wadaiwa kufariki dunia kwa ajali ya gari Bugweto, Shinyanga

Watu wawili wanadhaniwa kufariki dunia kutokana na ajali iliyotokea leo Jan 31, 2024 katika eneo la Bugweto barabara kuu ya Shinyanga kuelekea Mwanza baada ya gari aina ya Land Cruser kuwagonga watu hao chanzo kikitajwa kuwa ni mwendo kasi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *