Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Watoto 290 huzaliwa na tatizo la utumbo kuwa nje

Kwa Mara ya kwanza Hospitali Ya Rufaa Kanda ya Bugando Jijini Mwanza imefanikiwa kutoa huduma ya matibabu kwa watoto wanaozaliwa na tatizo la utumbo kuwa nje tangu juhudi za kutatua changamoto hiyo lianze kufanyiwa utafiti mwaka 2001.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kanda Bugando, Dk Fabian Massaga amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja hospitali hiyo hupokea sio chini watoto 290 waliozaliwa wakiwa tatizo la utumbo kuwa nje ambapo 15% tu ya watoto hao hufanyiwa matibabu na kupona huku 75% hufariki kwa kukosa matibabu ya ugonjwa huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *