
Mapema leo klabu ya Soka ya Simba, ikiongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA(T) Issa Masoud wamezindua eneo maalum ndani ya Makumbusho ya Taifa @museumtanzania ambapo kumbukumbu zote za klabu ya Simba zimewekwa Pia taarifa zote za klabu hiyo ikiwemo tangu ilivyoanzishwa mwaka 1936.