Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Dkt Yonazi atembelea mradi wa bandari jumuishi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema Ushirikiano wa kisekta katika ufanyaji kazi ni jambo zuri ambalo linaloleta ufanisi na ubora katika kazi ambazo zitakuza uchumi katika Nchi na Taifa kwa Ujumla .

Ameyasema hayo baada ya kutembelea na kukagua miradi ya kimkakati iliyoko visiwani Zanzibar ambapo ametembelea mradi wa Bandari Jumuishi ulioko Manga Pwani, Mradi wa Nyumba za Makaazi na Biashara pamoja na mradi wa nyumba za gharama nafuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *