Huko nchini Italia, rapa Kanye West amewafanya mapaparazi kuhangaika kwa kutaka kunasa picha yake mpya akiwana na mkewe Bianca Censori, asmbao walikuwa wakikatiza mitaa ila wapo peku peku (hawajavaa viatu)
Kanye na Censori walifunga ndoa, Januari mwaka huu na kabla ya ndoa hiyo Kanye alikuwa amemuoa mwanamitindo Kim Kardashian ambapo wamefanikiwa kupata watoto wanne.