Staa wa muziki kutoka Marekani, Usher ametangaza ziara yake ya kimuziki iitwayo USHER: PAST PRESENT FUTURE, inayotarajiwa kuanzia Agosti 2024!

Kwa muibu wa Usher kupitia mtandao wa X, ameweka wazi tiketi kuanza kuuzwa Jumatatu, Feb 12 saa 10 asubuhi.
