Ugumu wa maisha wamfanya Blac Chyna auza vitu vyake

Mwanamitindo kutoka Marekani, Blac Chyna, ameweka wazi kuuza vitu vyake ikiwemo nguo, mikoba na viatu vyake kupitia mtandaoni na kwa marafiki na familia ili kujikimu.

Mrembo huyo ambaye ameachana na mambo ya kidunia amesema kuwa mpaka sasa ameingiza zaidi ya $178k. sawa na Tsh/=445.890,007.60 kwa mwaka huu kutokana na kuuza vitu vyake hivyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *