Travis Scott atangaza kurudi shule

Rapa Travis Scott ameweka wazi kuwa atarudi shule na safari hii anarudi kusomea mambo ya usanifu majengo, ila mpaka amalize ziara yake ya
“UTOPIA: Circus Maximus Tour”.

Scott amesema hayo katika mahojiano na jarida la GQ, ambapo amebainisha kuwa atarudi Chuo Kikuu cha Harvard kwa ajili hiyo.


“Nilijiambia baada ya albamu hii nitaingia chuo, ila sasa baada ya ziara ndio nitarudi chuo,” alielezea hitmaker huyo wa “SICKO MODE”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *