Kampuni ya Balenciaga imetambulisha rasmi vazi jipa ambalo ni sketi lenye muonekano wa taulo ‘towel skirt’ ambapo nitoleo la Msimu Spring 2024 .

Unaambiwa kulipata vazi hili ambalo anaweza kuvaa mwanamke na mwamanume basi utalipia kiasi cha $925 sawa na Tsh/= 2,317,125.04 na pia sketi taulo hizi zipo rangi mbili nyeupe na kijivu.
