T.I azindua mradi wa nyumba za bei nafuu

Rapa T.I. na  mkewe Tiny wamezindua rasmi mradi wa nyumba za bei nafuu katika mji wao wa Atlanta.

Wawili hao wamezindua rasmi nyumba hizo  siku ya jana jumanne ambapo pia zina vitengo 25 vya ziada ambavyo wataweza kuishi vijana wasio na makazi.

Mradi i huo upo sehemu ambao palikuwa duka la mboga mboga la bibi yake T.I.,na  nyumba hizo zinaitwa Intrada Westside, zipo maeneo ya Center Hill Park.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *