TANZIA; Msanii wa muziki Haitham Kim amefariki Dunia

Taarifa kutoka chumba chetu cha habari msanii wa muziki Haitham Kim amefariki Dunia mchana huu akiwa hospitali ya Wilaya ya Temeke ambapo alikuwa akipata matibabu kutokana na kusumbuliwa na mapafu.

Marehemu Haitham alifanya mahojiano ya mwisho na Jambo FM kupitia #PowerFresh 2/8 mwaka huu.

Kwa sasa mwili wa marehemu umetolewa hospitali na unapelekwa Masjid Maamur Upanga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *