Mwanadada Bryhana Monegain ambaye ni Mtangazaji wa kituo cha radio cha Power 106, amemfungulia kesi rapa 50 Cent kwa kosa la kumshambulia kwenye paja lake la uso na MIC aliyokuwa akitumia kutumbuiza nayo.
Monegain anadai kuwa 50 alimuona ila alifanya hivyo mara mbili na kupelekea kumuuiza kwenye uso wake. Inadaiwa mrembo huyo alikuwa amekaa katika eneo lililozuiliwa mashabiki.
Wiki zilizopita tukio la kama hili lilitoka ambapo Cardi B alimrushia Mic shabiki aliyefika kwenye shoo yake aliyokuwa akifanya Las Vegas. Hata hivyo MIC hiyo baadae iliuzwa kwa mdana kusaidia wenye mahitaji.