Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Jux apata ajali ya gari Zanzibar

Msanii wa muziki Juma Jux, amepata ajali mchana huu akiwa kisiwani Zanzibar ambapo alikuwa anatoka Shamba anaenda Mjini (Town) hata hivyo msanii huyo hajaumia bali ni mtu mmoja tu aliyekuwa kwenye gari hilo ndio aliyepata mshiko na amepelekwa hospital.

“LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA NA NIMESURIKA AJALI MBAYA SANA NIKIWA NA @ommydimpoz TUKITOKEA KIZIMKAZI – ZANZIBAR KWA MAMA TUKIELEKEA NUNGWI – KENDWA ROCKS KWAAJILI YA SHOW YETU YA JUMAMOSI FULLMOON ALL WHITE PARTY!

NASHUKURU MWENYEZI MUNGU WATU WANGU NA TEAM YANGU YOTE IPO SALAMA, NI MTU MMOJA TU MTOTO AMEKIMBIZWA HOSPITAL LAKINI KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU NAAMINI ATAKUWA SALAMA!🙏🏾,” ameandika Jux

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *