Serikali yatangaza nyongeza ya mshahara kuanza Agosti 2023

Serikali Imetangaza Kuwa Nyongeza Ya Mshahara Ya Kila Mwaka Itaanza Kulipwa Mwezi Ujao.

Waziri Katika Ofisi Ya Rais, Menejimenti Ya Utumishi Wa Umma, George Simbachawene Ameyasema hayo Baada Ya Kuulizwa Kuhusu Nyongeza Ya Mishahara Iliyotakiwa Kuanza Kulipwa Mwaka Wa Fedha Julai, Mwaka Huu.

Nyongeza Hiyo Ilitangazwa Na Rais Samia Suluhu Hassan Katika Sherehe Za Wafanyakazi Uwanja Wa Jamhuri, Mkoani Morogoro, Mei Mosi Mwaka Huu.

Ahadi Hiyo Ilikuja Ikiwa Ni Miaka Saba Tangu Kuondolewa Kwa Mfumo Huo Na Rais Wa Awamu Ya Tano, Hayati John Magufuli Mwaka 2016.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *